Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Huyo jamaa mjanja mjanja sana, Abdul Nsembo wa nsembo transport ya magomeni, kuna kipindi walivamiwa pale kwenye lile jengo jamaa wakakamatwa nsembo akala kona, kwa ujanja ujanja wake na kujua kabisa alikuwa analiwa timing sidhani kama angeweza kukaa na hivyo vitu kwake ama kwenye gari...steve nyerere atakula wapi maskini ya Mungu huyu ndio boss wake akiishiwa tuu anazama kwa shamim
 
Kuna biashara wanafanya huyo Steve na Shamimu au uwa anamtoa tu kama rafiki?
 
Angekua mshamba asinge cope na status za mjini kwenye ile group yao walikuw Mwamvita Makamba, yule Kiki Zimba na Shamim
Weeee Dada washamba wanabadilika aisee hata kama katoka Nanjilinji juzi. Akija mjini mission ni moja tu "Faking it till they make it"....wako wengi tunawaona.
Ila daaah kwa heshima aliyokua amejiwekea Shamim jamani atafanya wasichana wanaomuangalia kama Role model wakate tamaa.
 
Yessss sasa Mwamvuta Makamba nimesoma nae darasa moja kpnd Mzee Makama RC Morogoro. Alikuwa dada mmoja simple sana ghafla mujii ukambadilisha hahahaaa mjini siji ng'ooooo acha nibaki Matombo.
Tofauti yao kubwa ni kuwa Mwamvita ana shule na connection za dingi. Yule mume wa kwanza wa Shamim ndiye alimsomesha first degree ninasikia.
 
Back
Top Bottom