Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

Nimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.
Mange anasema Shamim aliingia mjini na lorry la mkaa akitokea Morogoro 😂
 
Mjini hapa ukiishi kufuata wenzio wanaishije utaangukia pua,kumbe wenzio wanauza ngada,heri pesa chache na starehe za kawaida zitakazodumu muda mrefu bila kukata,kuliko pesa na starehe nyingi zinazodumu muda mchache,....katika maisha inatakiwa UISHI NA UWE BORA ZAIDI YA JANA ila SIO UISHI ILI UWE BORA ZAIDI YA FLANI utaangamia,.... Kwangu mimi I don wanna be rich but i just wanna be successful!....tuogope shortcut katika maisha!
 
Nimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.
Namkumbuka moja ya masister du wa Mkwawa High School enzi hizo akiwemo Irene Kiwia,Vivian Tillya (RIP),Maimartha Big Mama nk
 
Nimesoma na Shamimu Bungo PS akiwa darasa la saba mimi nipo darasa la tano lkn pia nilimkuta Morogoro Sec. Ki ukweli ni dada anayependa mambo makubwa tangu akiwa shule ya msinhi. Sishangai kwa haya ninayo yasikia kumuhusu. Ni dada wa mujini hasaa tangu ajiwa binti mdogoo.
Mwanafunzi wa Luoga nakuona
 
  • Thanks
Reactions: Ilu
Huyu dada aliolewa ndoa ya kwanza na mwanaume mmoja mstaarabu sana. Walibahatika kupata mtoto wa kike. Yeye ndiye chanzo cha ndoa kuvunjika.

Sasa mwana kulitafuta mwana kulipata.
Tena huyu mwanaume aliyemuoa inasemekana alikuwa mwanaume Mboni Masimba
So Shamimu akamzunguka shoga ake na kudate nae mpk kuoana
Km kawaida ushoga wa mjini kuzungukana
 
Nilitaka kupata ufafanuzi, inakuwaje wanaokamatwa wanakutwa na kipimo kinacholingana?

Niko najaribu kusearch threads kama 3 hivi ili niweke hapa, wajuzi watasema ni kwa nini.
Hicho kipimo ndio uwezo wa punda wengi kumeza tumboni, elewa hao hawauzi kete kuna punda hapo lilandaliwa huo mzigo lije kumeza lipandishwe ndege lipelekeke sokoni.
 
Back
Top Bottom