hata mimi nawalaani viongozi wa chadema maana damu yao iko juu ya viongozi wa chadema. kama wangekuwa wanawajali wafuasi wao wasingewaamuru kuandamana wangeenda kuhutubia tu na kuondoka. lakini sababu walitaka shari itokee watu wafe na kuumia kwa kuamini watapata umaarufu na sifa nje ya nchi ndiyo maana kwao mkutano waliona hauna maana. Down with chadema leadership, slaa and mbowe
Hizo pumba zako peleka kwingine.