Shame for Kenya as JKIA closed again

Namtih58

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
235
46
Nairobi's Jomo Kenyatta International Airport is again closed in less than 36 hours due to another power failure.

Flights are being redirected to other airports including Mombasa, Entebbe and Kigali.


When contacted by Nation, Kenya Airways Chief Operating Officer Bram Stellar confirmed that flights are being redirected to other airports.

"The airport is closed. It is another power failure. It is a crisis I tell you," said a dejected Mr Stellar.


Kenya Airways International flights are among those affected as they are being redirected to Entebbe, Kigali and Mombasa airports.

The National carrier managing director and group CEO Titus Naikuni on Sunday disclosed that the disruption was occasioned by prolonged power outage at JKIA forcing the airline to divert its early morning flights to Moi International airport in Mombasa, Kigali international airport in Rwanda and Entebbe international airport in Uganda.


Mr Naikuni regretted the incident that had led to a major inconvenience to customers and said that the airline would engage with the Kenya Airports Authority and other key stakeholders to ensure that such disruptions become a thing of the past.


With the situation having repeated Mr Naikuni will have it rough reassuring KQ customers that the airline's flight operations are reliable.

The power outages are definitely tainting Kenya's image globally as JKIA is a key connection airport in africa.

Soma zaidi hapa
 
Wanawasingizia tu mbona ndege zinatua kama kawaida. Hii ni zuga ya wabongo tu khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nchi iliyoendelea kuliko zote Afrika! You must be joking?
 
Dont tell me wana shida ya umeme kama hapa kwetu au ilikuwa ni kukatika kutokana na fault kwenye system tu?
Nawaaminia wakenya, watalifanyia kazi hilo usiku na mchana!
 
Out of our busness!!

Mkuu Kenya, Ethiopia, South Africa na Nigeria ndio main hubs za air transport in Africa. Si kwa watanzania wanaoenda nje pekee, hata watalii ambao wanatuongezea pato letu wanapita Nairobi.

It is our Business!
 
Mkuu Kenya, Ethiopia, South Africa na Nigeria ndio main hubs za air transport in Africa. Si kwa watanzania wanaoenda nje pekee, hata watalii ambao wanatuongezea pato letu wanapita Nairobi.

It is our Business!
lakini wana option ya kuja straight! sioni tatizo kwa Tanzania labda kwa wale wanaokuja na Kenya Airways na wenye package deals!
 
Jamani hivi nani humu jamvini alisha pata matatizo ya kusafini na Kenya airways au kuunganisha safari kwa kupitia Jomo Kenyata Airport? Mi imesha nitokea mara 3 in the last 2 years na kwa kweli it is not funny...

Tulikua tunasafiri, tukafika airport, tukaambiwa the flight is delayed. baada ya kusubiri for more than 3 hours pale mwanzo tu hata hatuja check in, tunakuja kuambiwa hatuwezi kuendelea na safari, twende desk fulani tutapewa voucher. tukaenda huko (watu ma mia) tukapanga foleni na mwisho tukapewa vocha ya kahotel fulani kadogo dogo huku wadhungu wakipewa voucha kwa hoteli za kifahari.

Kufika hoteli tunapata treatment ya wakimbizi: kuna mahali tumetengewa ndio tule hapo, kama utakunywa wine unajilipia, internet unajilipia, unaweza kupiga sim dakika 3 na ukizidisha unajilipia etc.

Safari ilikua jana saa 5 na nusu (usiku) na imepelekwa leo saa zile zile.

As you know mimi si mkenya na nilikuja kwa safari ya siku chache tu. sasa niko Nairobi, sina hela, sina sim ya huku, nimefanya fujo sana nimepewa internet 24hrs. NImeweza kum-contact mume wangu ananitumia chochote ili niweze angalao kuzunguuka, nikafanye shopping nipoteze mawazo...
Hali hii ilisha wahi kuwatokea nyinyi au ndugu zenu? :sick:
 
Hii mada yako haieleweki kabisa. Ujue safari ndo zilivyo lolote linaweza kutokea hivyo unaposafiri usiendekeze sana raha. sasa wewe unataka upewe huduma sawa na mtu wa first ama business class?
 
hii mada yako haieleweki kabisa. Ujue safari ndo zilivyo lolote linaweza kutokea hivyo unaposafiri usiendekeze sana raha. Sasa wewe unataka upewe huduma sawa na mtu wa first ama business class?

ungemuhuliza kwanza yeye alikata class gani na sio kumuhukumu.yawezekana walikuwa wanaangalia rangi ya ngozi katika utoaji vocha ndio maana kakwambia wazungu walipewa vocha tofauti.kwani wazungu mbona tunawaona wakipanda bussiness class na wao?
 
Wajanja waliisha achana na Kenya airways siku nyingi... Wafanyakazi wa airport wana Master keys hata kama bag umefungaje watalifungua na kupekua hasa kama unatokea nchi za Ulaya.... Wezi kweli. Harafu kuhairisha na kukatisha safari kwa sio jambo la ajabu....
 
Wajanja waliisha achana na Kenya airways siku nyingi... Wafanyakazi wa airport wana Master keys hata kama bag umefungaje watalifungua na kupekua hasa kama unatokea nchi za Ulaya.... Wezi kweli. Harafu kuhairisha na kukatisha safari kwa sio jambo la ajabu....

hapa umenena yaani wanashindwa hata kumonitor wafanya kazi wao wanapasua mabegi kama hawana akili nzuri africa nzima ndio wanaongoza kwa wizi kwenye mizigo ya watu...wanawafuga wafanyakazi weziiii
 
Pole sana..hao ndivyo walivyo, nakusihi uachane nao kabisa..tena kuna ndege nyingine huwa zina conection nao nazo usiwe na tabia ya kuzipanda maana unaweza kukata tiketi ya ndege fulani halafu mwisho wa siku wanakupa kenya airways..inakula kwako
 
Pole sana..hao ndivyo walivyo, nakusihi uachane nao kabisa..tena kuna ndege nyingine huwa zina conection nao nazo usiwe na tabia ya kuzipanda maana unaweza kukata tiketi ya ndege fulani halafu mwisho wa siku wanakupa kenya airways..inakula kwako
Nakiri siwapendi wakenya kwa mambo mengi lakini kwenye suala la Airline tuna mengi ya kujifunza kutoka kwao. Nimesafiri na ndege zao mara nyingi na kimsingi wanatuwakilisha kama largest airline ya East Africa. Kwa mfano hakuna shirika linayo iconnect East Africa na West Africa zaidi ya KQ. Hayo matatizo ya wizi mizigo kwenye mifuko ya wateja ni kitu common kwa Airlines za Africa na nafikiri wanapambana na hilo. Sisi waTanzania tumeua ATC yetu na tumemuacha Precision awe flag bearer
 
Back
Top Bottom