Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,628
Mkuu usiwe na shaka maadamu ni ukweli harisiMkuu endelea basi
Baadae ishafika
Vijana weeeeeeeengi toka kijijini kwetu nikiwemo mimi tulienda Zanzibar kwa nyakati tofauti kusaka maisha wengine hadi leo wako huko. Waliokuwa wanarudi walitujulisha Ukifika Zanzibar nenda Uroa kwa mzee fulani utakuta wasukuma kibao wakifanya kazi za kulima na kusimamia mashamba na walikuwa na umoja wao wa kusaidiana endapo mmoja atapata matatizo. Nenda Dunga kaulize hii story na kama ni agent au imekugusa tafuta njia nyingine ya kupotoshammmh hapa ukisoma mistari basi kuna utata.
kwanza: nikijaribu kuwaulizia viongozi wa umoja wa vijana wa Kisukuma waliokuwa maeneo ya Uroa. Yaani uende dar na uulize vijana wa usukumani au watu kutoka usukumani. ( inawezekana na ukawapata wengi sana )
penye utata: nakumbuka kipindi anatoka kijijini kuja Zanzibar huyu ndugu alihitimu tu darasa la saba kijijini kwetu........ yaani ulibahatika kukutana na mtu mliekuwa kijiji kimoja ( inawezekana ila sio kirahisi ki hivyo, mimi nimewahi kuishi uganda nikiwa nimetoka dar maeneo ya upanga. hapo ugana niliwakuta watanzania wengi ila sio wa maeneneo niliyotoa. niliwahi kuishi kenya na hata hapo kenya niikutana na watu wengi wa TZ ila hakuna niiekutananae na akatokea maeneo niiyokuwa naishi) sikatai kukutana na mtu wa kijijini kwenu ia cha kushangaza mtu huyohuyo anakuwa kwenye story unayotaka kuileta. kuna ile TV series inaitwa LOST no ilikuwa na mpangilio wa story yako.
Yaani na mpaka alielipua ubalozi wa marekani yupo kwenye stori yako.....
anyway endelea......
PoleKiazi wewe weka mada ileweke
Ukweli siku zote huwa unauma, kuna Watanzania wengi wanafahamu mambo mengi lkn wanayafunika tu ili kuepusha kusumbuliwa, usukumani wanaofanya mauaji ya vikongwe wanajulikana ila huwezi kuwataja maana tayari utakuwa katika hatari na familia yako. Ugaidi upo kwenye jamii yetu ila hofu imetanda. Msanii Roma si kwamba hawajui waliomteka lkn analinda makubaliano yao kwa ajili ya maisha yake. Hayo mimi niliyaona na kama binadamu ni lazima niyakumbushie hata kama upande wa pili utachukia. Kuna padri alipigwa risasi ya kichwa huo si ugaidi!? Tuvumiliane hapa ni jamii forum ni moderator tu ndiye anaweza kuona hii habari haifai kuwepo hapa basiUlipima bhupepo angu mwanangwa...
Madame........Endelea basi
Usishanga mkuu kule Zanzibar kuna vijana wengi sana wa Kisukuma na kazi zao ndiyo hizo house boy/shamba boy na kutunza ng'ombe.mmmh hapa ukisoma mistari basi kuna utata.