Shamba na viwanja vinauzwa Chanika

Shamba na viwanja vinauzwa Chanika

abm8

Member
Joined
Nov 22, 2014
Posts
19
Reaction score
2
Shamba lenye nyumba ndani linauzwa,shamba unaloweza kukata viwanja pia linauzwa ukubwa wake ni heka 1,pia kuna viwanja 20/20_@2.5mil, vyote vipo Chanika.

Mawasiliano piga simu_;-255788470662/672265290, nikukutanishe na mhusika au tembelea blog yangu katika http://www.peperonity.com kisha andika abm8 kuangalia matangazo katika blog yangu.
 
vyote viko chanika, 20/20_@ 1.3mil piga simu namba _;+255788470662 ukutanishwe na mmiliki
 
vinapatikana chanika zingiziwa, ukubwawake 20/20, bei 1.3million, piga 0788470662/0672265290 kwa maelewano na jinsi ya kuviona, pia kuna kiwanja cha 2.5milion ukubwa ni 20/20
 
bado nina viwanja vitatu,viko karibu n shule ya sekondari zingiziwa,chanika 20*20@2.5million, viwanja viwili{2},20*20@1.3million
 
Back
Top Bottom