Shamba na miti vimauzwa

Shamba na miti vimauzwa

filbath

Member
Joined
Jan 25, 2019
Posts
8
Reaction score
36
Shambaa pamoja miti vinauzwaa ekar mbil ,iringa mufindi,0769725265/0714035105,
 
Naomba uweke umri wa hiyo miti pamoja na bei, na kama utaweza sema ipo kijiji gani
 
Naomba uweke umri wa hiyo miti pamoja na bei, na kama utaweza sema ipo kijiji gani
Miti inayo uzwa pamoja na shamba ina umri wa miaka minne,ekar mbili ,bei ni 2.milion maongezi yapo,ipo mufindi luhunga.
 
Bei inaendaje mkuu?
Miti ina umri gani?
Ukifanikiwa kuweka na picha itapendeza zaidi
Hii ni yakuchana mbao,picha za ya kufuga naleta
IMG_20190521_101302.jpeg
IMG_20190521_101212.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom