Habari zenu wanajamvi!
Natafuta shamba la bei rahisi kidogo mikoa ya Mtwara na Lindi linalofaa kwa kilimo cha Korosho, mwenye nalo tafadhali tuwasiliane.