Shamba linauzwa

Shamba linauzwa

Carokola

Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
54
Reaction score
25
karibu Wilaya ya mbozi mkoa mpya Songwe mji Mdogo Mlowo mji wa kibiashara unaokua kwa kasi upo takriban kilometer 5 kutoka makao mapya ya mkoa wa songwe mlima serewa
Kwa wanaohitaji eneo la barabarani kwa ajili ya shughuli mbali mbali za kibishara mfano kujenga Hotel Hospital Sheli vyumba vya biashara anitafute kwa namba za simu 0768613965
0621092983
Eneo liko barabarani kwa wenyeji lipo karibu na mzani ilonga ukubwa n hekari 2 kasoro bei mil 32 maelewano karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo bei wilayani tena. Na jijini bei itakuaje kwa upepo huu
 
Kumbe bado kuna watu bado wana hela za kununua kitu kama hicho kwa bei hiyo?
 
Back
Top Bottom