Shamba linauzwa Morogoro.

Eberhard

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2010
Posts
1,151
Reaction score
809
Anayetaka shamba kwa ajili ya kilimo/ufugaji morogoro tiwasiliabe
 

Mkuu shamba lipo stand ya Msamvu Morogoro ama? Hauko specific, au unadhan Morogoro ni kama kijiji fulani vile
 
tapeli uzuri nakufahamu. kamata wajinga wasio kujua

Hili nalo neno. Maana unauzaje kitu hataki sema bei na details nyingine muhimu ili mtu ajue kama atapiga simu au la. unadhani kumpigia simu mtu ni kazi rahisi bila kuwa angalau na information za kutosha. uzia wajinga
 
Sijamlazimisha mtu kuchamgia post yangu. Hata hivyo maneno kama tapeli siyo mazuri. Kama nilishawahi kumtapeli mtu atoe ushahidi. Wenye kuhitaji shamba wameshanipigia. Ninajua nani anajitaji shamba na nani haitaji.
 
lipo eneo/wilaya gani?
lipo mpakani mwa mvomero na morogoro. Kwa makunganya. Specific area majichumvi. 7km away from main road which goes to dodoma ( idodomya). 18 km from morogoro main town center.
 
kuweni makini huko kwa makunganya kuna sehemu ni hifadhi ya na juzi tu watu waliojenga huko wamebomolewa nyumba zao na manispaa actually eneo hilo lina figisufigisu xo ni vema kuwa makini sana..
 
kuweni makini huko kwa makunganya kuna sehemu ni hifadhi ya na juzi tu watu waliojenga huko wamebomolewa nyumba zao na manispaa actually eneo hilo lina figisufigisu xo ni vema kuwa makini sana..
Kwangu siyo huko upande wa lunchi. MlKwangu ni majichumvi. Ukiwa unaenda Dodoma ni upande wa kushoto. Km 7 kutoka barabara kuu iendayo dodoma. Eneo unalolizungumzia wewe ni la upande wa kulia. Mm napenda nifanye biasbara ya haki na salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…