Shamba linauzwa Morogoro

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,138
786
Anayetaka shamba kwa ajili ya kilimo/ufugaji morogoro tuwasiliane.
Shamba ni zuri kwa kilimo cha ufuta,mahindi na nk.
 
nayetaka shamba kwa ajili ya kilimo/ufugaji morogoro tiwasiliabe.
Shamb@ ni zuri kwa kilimo cha ufuta,mahindi na nk. There is a source of water about 2.5 km from a shamba. Its size is 11 Hectares.For more clarifications call me at 0784775353/0767665353 during day time. Bei Kwa heka ni shilingi laki nne.
fafanua kidogo mkuu morogoro wilaya ipi kwa mfano?
 
Nameambia viazi Mviringo vina stawi vizur maeneo ya Mgeta, kama ni kweli nataka maeneo huko
 
Nameambia viazi Mviringo vina stawi vizur maeneo ya Mgeta, kama ni kweli nataka maeneo huko

Ni kweli viazi mviringo vinastawi vzr, pia kabichi, maharage, conflower,kiujumla kila kitu chamboga mboga moro mjini kinatoka mgeta.
kuhusu ardhi sijui kwa kweli km wanakodisha kule, maana ni mlimani
 
Ni kweli viazi mviringo vinastawi vzr, pia kabichi, maharage, conflower,kiujumla kila kitu chamboga mboga moro mjini kinatoka mgeta.
kuhusu ardhi sijui kwa kweli km wanakodisha kule, maana ni mlimani
thnx mkuu! Kama utapata mtu kuanzia heka 3-5, shamba liwe karbu na Maji, kama vp Pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom