SHAMBA LINAUZWA MOROGORO KILOSA

igihumbi

JF-Expert Member
Feb 20, 2017
441
350
Habari wana jf nauza shamba langu lipo mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa kijiji cha changarawe karibia na kijiji cha miyombo.
shamba linaukubwa wa heka 3 shamba lipo tayri kwa ajili ya kilimo cha mwezi wa 9.
mazao yanayo stawi ni
mahindi
kunde
ufuta
mihogo
mbaazi
BEI KWA HEKA ZOTE TATU NI 1.2M BEI YA KILA HEKA NI LAKI NNE (400000).
mawasiliano 0657623266 0688501810
hawa ni majilani zangu ambao walilima
karibuni sana
 
hapo iyo picha kwanza ni mihogo na ya pili ni kunde
IMG_20190610_100720%20-%20Copy.jpeg
IMG_20190610_141840.jpeg
IMG_20190610_141843.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom