GAGL
JF-Expert Member
- Aug 5, 2010
- 392
- 400
Shamba la hekari kumi linauzwa mkuranga, ukifika pale njia panda kwenye filling station, unaacha barabara kubwa inayokwenda kusini, unaingia kushoto kama unaelekea ofisi ya mkuu wa wilaya. Kutoka hapo njia panda ni mwendo dk kumi kwa mtu mwenye usafiri. Barabara inafika hadi hapo shambani. Bei sh. Mil. 75. Simu: 0786 046484/0653 061886