benbry
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 183
- 55
Nimesema mjini kwa sababu ya eneo husika. hekta moja (70 kwa 70) krb na shule ya sekondari goba, wilaya ya kinondoni. bei 17 milion. wahi sasa, au kama mko wawili mgawane fasta., mwenye nalo ana njaa sana. Haya twende kazi, leo nipo kwa ajili ya kuonyesha wateja.