Shamba linauzwa lipo pembeni ya mto -wami dakawa morogoro

M

Mijicho

Senior Member
Joined
Jan 20, 2009
Messages
128
Likes
24
Points
35
M

Mijicho

Senior Member
Joined Jan 20, 2009
128 24 35
Habari

Nimeamua kuuza shamba langu ,maelezo kuhusu shamba ni kama ifuatavyo.

ukubwa:hekari 30,linauzwa lote kwa pamoja na sio vipande
eneo:wami dakawa,karibu kabisa na ranch ya mzee mwinyi
faida:lipo pembeni ya mto wami,na linafaa kwa mpunga,na pia mboga mboga kwa msimu wa kiangazi kwa kumwagilia
umbali kutoka barabarabi ya lami:around 7 kms
mazingira ya barabara:unafika mpaka shambani na gari
rutuba ya shamba:halihitaji mbolea na halijalimwa misimu miwili
bei:10,500,000million(350,000 kwa heka) maelewano yapo
mawasiliano:0719256666

Serious buyers only

PM me kwa swali lolote
 
jashmoe32

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
1,051
Likes
182
Points
160
jashmoe32

jashmoe32

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2012
1,051 182 160
kaka je kuna umbali gan toka shamban mpaka hapo kwenyemaji ya mto wami?je ni flat na lishakua cleared au?kuna vibarua wa kuomba wakusaidie katika kilimo mfano kama Vitunguu
 
M

Mijicho

Senior Member
Joined
Jan 20, 2009
Messages
128
Likes
24
Points
35
M

Mijicho

Senior Member
Joined Jan 20, 2009
128 24 35
kaka je kuna umbali gan toka shamban mpaka hapo kwenyemaji ya mto wami?je ni flat na lishakua cleared au?kuna vibarua wa kuomba wakusaidie katika kilimo mfano kama Vitunguu
Shamba lipo ukingoni mwa mto kabisa,nadhani kuna mita chache zile ambazo zinaachwa kisheria,shamba lipo flat kabisa ,halijawa cleared bado,sijalilima miaka yote miwili,lakini vibarua wako tayari kabisa kwa kufanya kazi ya kusafisha shamba kwa sababu nilishaongea nao nia yangu ilikuwa nilime lakini mambo ya kifedha yakawa sio mazuri,well kwa kitunguu wengi hupendelea kulima mwezi wa sita /saba hivi kwasababu kwa msimu huu mvua zinakua nyingi sana na utaalamu wa kitunguu hakihitaji maji mengi sana
 
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Messages
8,154
Likes
6,560
Points
280
lukindo

lukindo

JF-Expert Member
Joined Mar 20, 2010
8,154 6,560 280
Habari

Nimeamua kuuza shamba langu ,maelezo kuhusu shamba ni kama ifuatavyo.

ukubwa:hekari 30
eneo:wami dakawa,karibu kabisa na ranch ya mzee mwinyi
faida:lipo pembeni ya mto wami,na linafaa kwa mpunga,na pia mboga mboga kwa msimu wa kiangazi kwa kumwagilia
umbali kutoka barabarabi ya lami:around 7 kms
mazingira ya barabara:unafika mpaka shambani na gari
rutuba ya shamba:halihitaji mbolea na halijalimwa misimu miwili
bei:10,500,000million(350,000 kwa heka) maelewano yapo
mawasiliano:0719256666

Serious buyers only

PM me kwa swali lolote
Inaelekea mzee yuko vizuri, yaani mpaka huko kawekeza!??
Halafu hataki mchezo maana yule kijana aliyekula moja ya pesa za pango ameishia jela, pia nimesikia pale Mwananyamala mtoto na mjuu wake wanalazimisha kuchukua nyumba nyingine.

Any way, hilo shamba linaelekea ni zuri na ngoja niangalie kama inaweza kupatikana japo advance nikupm

M

Mijicho

Senior Member
Joined
Jan 20, 2009
Messages
128
Likes
24
Points
35
M

Mijicho

Senior Member
Joined Jan 20, 2009
128 24 35
Inaelekea mzee yuko vizuri, yaani mpaka huko kawekeza!??
Halafu hataki mchezo maana yule kijana aliyekula moja ya pesa za pango ameishia jela, pia nimesikia pale Mwananyamala mtoto na mjuu wake wanalazimisha kuchukua nyumba nyingine.

Any way, hilo shamba linaelekea ni zuri na ngoja niangalie kama inaweza kupatikana japo advance nikupm

Mzee amejiweka vizuri kule,ana ngo'mbe na mashamba wa kutosha.Well karibu mkuu tuweze kuona tunafika wapi
 
ZAMBI YANGU

ZAMBI YANGU

Senior Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
163
Likes
6
Points
0
ZAMBI YANGU

ZAMBI YANGU

Senior Member
Joined Jul 23, 2013
163 6 0
Nikiwa nahitaji heka moja au mbili unaweza kuniuzia au unaliuza kwa jumla?
 
M

Mijicho

Senior Member
Joined
Jan 20, 2009
Messages
128
Likes
24
Points
35
M

Mijicho

Senior Member
Joined Jan 20, 2009
128 24 35
Nikiwa nahitaji heka moja au mbili unaweza kuniuzia au unaliuza kwa jumla?
Napendelea kuuza kwa jumla,ingawa unaweza ukaamua kunipa labda ya nusu shamba ingine ukaahidi ni lini utatoa tukaandikishana(baada ya mwezi naweza kuvumilia),au ukatafuta mtu mwingine mkaunganisha nguvu,huo ni ushauri wangu kwa haraka haraka
 
M

Mijicho

Senior Member
Joined
Jan 20, 2009
Messages
128
Likes
24
Points
35
M

Mijicho

Senior Member
Joined Jan 20, 2009
128 24 35
muda wa kilimo ndio huu,changamkieni fursa hii nzuri
 
Forum statistics

Threads 1,249,667
Members 480,998
Posts 29,706,774