kaka kama unahitaji unaweza kuja liona mwenyewe na huo ni mto ,pia kuna umbali ambao mtu na shamba lazima uzingatiwehii tabia ya kuwauzia watu mashamba kipindi cha kiangazi hatari sana sasa sehemu mkondo wa maji lakin mtu anauziwa wale wa kihonda kwa bwana jela najua tabu mnayoipata atakuja mtu ana kwambia nina eneo mbuyuni nauza milion 5 we ukaona umepata ngoja msimu wa mvua utalia sana tuwe wawazi madalali na wauzaji wengi wana nunu sehemu siyo sahihi kwa uroo wa kujenga
ok nitakuja.... ila imani ni bora kuliko dhahabu.....kaka kama unahitaji unaweza kuja liona mwenyewe na huo ni mto ,pia kuna umbali ambao mtu na shamba lazima uzingatiwe
Na maanisha hilo Si shambaunamaanisha nn?
Huo sio mto ni mapito ya majiinategemea unataka eneo karb na mto au mbali na mto