Unaona shida gani ukituwekea bei ya kuanzia? Unafanya usiri utafikiri unauza madawa ya kulevya!!Shamba la hekari 3 linauzwa Kigamboni. Liko kilometa 3 kutoka Dar Zoo, Mwasonga. Liko mita 150 kutoka barabara kuu, na liko kwenye mji wa Mwasonga. Linafaa kwa Biashara na Makazi. Bei ni Maelewano.
Wasiliana na mimi ndo mwenye mali.
Unaona shida gani ukituwekea bei ya kuanzia? Unafanya usiri utafikiri unauza madawa ya kulevya!!
Binti wala sio hela nyingi
Haya mkuu ni 25m tu ekari 3.
toka lini mkuu??George.W.Bush anajua kuwa eneo lake linauzwa??
toka lini mkuu??