Shamba linauzwa Kibaha

Shamba linauzwa Kibaha

Desire Dizaya

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
6,476
Reaction score
11,673
habari wakuu
nina shamba linauzwa,lipo kongowe halmashauri ya mji wa kibaha.eneo linaitwa sarahga.ni umbali wa km 10 kutoka morogoro road...lipo jirani na mashamba ya mo dewji

shamba lina ukubwa wa heka tano(5).linafikika kwa urahisi
ni tambarare kabisa.linafaa sio tu kwa kilimo bali ufugaji na makazi pia.
bei ni million tatu kwa heka..
majadiliano yapo na bei inapungua
hata ikitokea huwezi kulipa full utapatana kulipa kwa awamu..

alie interested please PM me!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom