Wilhelm Johnny
JF-Expert Member
- Jan 13, 2016
- 1,369
- 1,337
Wakuu kuna Shamba linauzwa hekari 2 lipo Moshi, Uchira linauzwa Million 5 kilometer 1 toka barabara kubwa ya lami Mweje uhitaji apige simu no 0652971495 au anicheki PM.
Hapana mkuu haliusiani na ukoo kabisa huko ni kwa wapare na sisi ni wachaga.Sio eneo la ukoo hilo?mana Moshi maeneo mengi ni ya ukoo,
Sio eneo la ukoo hilo?mana Moshi maeneo mengi ni ya ukoo,
Uchira kumekuwa upareni lini? Mnunuzi lazima azoe laana za ukooHapana mkuu haliusiani na ukoo kabisa huko ni kwa wapare na sisi ni wachaga.
miwalenishamba mil 5 moshi? lipo seh gani? miwaleni au upande huu wa kisomachi
nasi sawa wew unajua sanaUchira kumekuwa upareni lini? Mnunuzi lazima azoe laana za ukoo
Wakuu kuna Shamba linauzwa hekari 2 lipo Moshi, Uchira linauzwa Million 5 kilometer 1 toka barabara kubwa ya lami Mweje uhitaji apige simu no 0652971495 au anicheki PM.