Shamba linauzwa heka takriban 25,

Shamba linauzwa heka takriban 25,

Maji labda mchimbe
Pembeni panapita mto ambao ni wa msimu,
Kwa kipindi cha mvua huwa nawaachia wanakijiji kulima mpunga.
Kama sasa hivi wapo wengi wamekatiwa bure
nami nahitaji kulima nikatie bure nije kulima
 
Duh mi nkajua watu wazur namna hii waliisha kwenye vita ya maji maji......

Dunia bado nzur kumbe
Basi huko ni kunisulubisha bure.
Basi Mimi nauza tu.
Wala sikodishi wala kukutia mtu, wema si matangazo aliyeomba kapewa sio kufanya kufuru.
Wakutukuzwa ni Mungu kwani ndiye aliyenipa.
 
Kama utahitaji nitakupatia sehemu ulime hata heka 10 nguvu zako, sitokukodisha.
Akipatikana mnunuzi ukishavuna unamuachia shamba lake
Jamani vijana mnitumie namba tuungane tuingie mzigoni fursa hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom