shamba linauzwa eka moja milion saba( 7)

shamba linauzwa eka moja milion saba( 7)

mama cha

Senior Member
Joined
Aug 2, 2011
Posts
115
Reaction score
9
lipo katika kijiji cha lugwadu wilaya ya mkuranga. Ni km 6 kutoka barabara kuu ya kongowe kigamboni na km 24 kutoka ferry na km 8 kutoka kongowe. Shamba lina ninazi mikinda na mikorosho. Anayehitaji ani-pm
 
aisee, nina eka mia nauza milioni mia mkuranga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom