Shamba linauzwa eka 82 mkuranga kila eka ths 450,000. Maelewano ya punguzo yapo!!

Felix

JF-Expert Member
Mar 9, 2014
876
762
Wadau karibuni tena katika kijitangazo changu,wawekezaji wengi kwasasa wamechukua maeneo ya njia hii ya mikoa ya kusini kwa wingi, kujenga viwanda, kilimo na mashule kwa sababu ya maendeleo ya gesi iliyoko mbioni kuanza kutumika kutoka mtwara. hivyo na wewe nakuomba kama uwezo unao chamgamkia kijitangazo hiki. Karibu sana

1. Shamba liko wilaya ya mkuranga mkoa pwani barabara iendayo mikoa ya mtwara lindi n.k
2.Shamba lote liko tambalale halina milima wala mabonde.
3.kutoka mkuranga mjini mpaka shamba lilipo si zaidi ya kilometa 45 kote ni lami tu
4.kutoka barabara kuu ya lami mpaka shamba lilipo ni dakika 4.
5.Liko karibu na mabomba ya gesi zote zitokazo mtwara
6.kwa barabara ya mtaa, shamba liko barabarani iendayo pwani (beach) km 30 kutoka shamba lilipo mpaka beach
7.Shamba lina hati za selikari ya kijiji tu, mnunuzi yeyote kabla ya kununua anaweza kuuliza selikari ya kijiji kujua umilikaji wake au kuchukua hatua zozote za kisheria hili kujirizisha.
8.Lina mazao ya kudumu kama mikorosho na mazao mengine ya muda mfupi kama mahindi na miogo.
9.Lina faa kwa kilimo chochote na kwa kuwa tambalale pia linafaa kwa kujenga shule au kituo cha afya. au kiwanda
10. maji ya yapo ya bomba la selikari linalopitia apo. au unaweza kuchima kisima chako.
12.Umeme ndo kwanza selikari inaweka nguzo, utakuwepo muda si mrefu.
13.Sababu za kuliuza, Mama mgonjwa anaitaji kwenda india kitibiwa. hivyo naitaji hela.
14.Kama una mteja ukimleta na kufanya biashara, malipo yako itakuwa ni 10% ya mauzo yote.
15.kwa mawasiliano piga cm namba hii 0763 706821 au email .gemstoned.la_mjasiliamali@yahoo.com
12.Atakae kuwa na nia ya kununua kabisa, bei atapunguziwa sana.

NAKUSHURU KWA KUTUMIA MUDA WAKO KUSOMA. FELIX
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom