lwampel
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 249
- 55
Habari gani wana jf?, ninashamba hekari 20 maeneo ya BIGWA wilaya ya mkuranga mkoa wa pwani, shamba lipo katika sehemu nzuri karibu kabisa na kisima cha maji, pia shamba lina ardhi nzuri ambayo mazao kama vile mihogo,michungwa,mikorosho, miembe, mananasi, yanaweza kustawi vizuri sana, pia shamba lipo katika sehemu nzuri hata kwa shuhuri za ufugaji wa wanyama, hakika ukiliona mwenyewe utalipenda! Bei yake kwa ujumla ni shilingi milioni 30 za kitanzania, shamba lipo umbali kama wa 1km kutoka bara bara kuu, pia gari inaweza kufika mpaka shambani. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia 0752490238 Karibu sana!