Shamba Linatafutwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,578
Reaction score
28,700
Wakuu naomba msaada ni wapi ntapata shamba la kuanzia hekari 12 na kuendelea nje kidogo ya jiji la DR ES SALAAM kwani nina kamradi kadogo ka ufugaji nataka kuanzisha kujikwamua na uchumi unaopaa wa JK. Shamba si lazima sana liwe na ardhi yenye rutuba japo mambo ya msingi kama MAJI(mto, maji ya kisima au bomba), UMEME na barabara ni muhimu sana.

Mwenye detail hasa bei na maeneo naweza kupata naomba amwage hapa au ani-PM

Natanguliza shukrani sana na MUNGU awabariki.
 
Hakuna umeme

Barabara inapitika mwaka mzima

Maji yapo ya kumwaga chini ya ardhi, mita 15 - 30
 

huyu jamaa analo bei poa kisarawe | Nyumban Real Estate & Consultancy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…