Shamba linahitajika

MANAKE MKARI

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
281
211
Shamba linahitajika, heka 1-5. Maeneo ni Bunju hadi Bagamoyo au Kibamba hadi Kibaha. Umbali kutoka barabarani usizidi km 12. Kama lipo barabara ya Kilwa au Kisarawe lisizide km 5 kutoka barabarani. kama unalo tafadhali ni pm.
 
mbezi kwa ndani km 10 je? maana mbezi hujaitaja lakini ipo morogoro road
 
mbezi kwa ndani km 10 je? maana mbezi hujaitaja lakini ipo morogoro road[/QUOTE]

Nilianzia Kibamba nikidhani labda huko ndiko yanakopatikana kwa sasa.Mbezi upande gani na bei imesimamaje?
 
Shamba linahitajika, heka 1-5. Maeneo ni Bunju hadi Bagamoyo au Kibamba hadi Kibaha. Umbali kutoka barabarani usizidi km 12. Kama lipo barabara ya Kilwa au Kisarawe lisizide km 5 kutoka barabarani. kama unalo tafadhali ni pm.
nina heka 10 bagamoyo na 50 morogoro tuwasiliane 0657 14 55 55
 
Kuna shamba hekari 10,lina nyumba moja,minazi,michungwa na miembe

Shamba lipo Kibaha maili 35, 1km kutoka Morogoro road na linafikika kirahisi.

Kwa maelezo zaidi nitumie pm
 
Nina eka moja
kibaha jirani kabisa na makao makuu ya OUT
ni kama km 5 kutoka barabara kuu ya morogoro
panafikika kirahisa.

kama utapenda mkuu ni pm.

Shamba linahitajika, heka 1-5. Maeneo ni Bunju hadi Bagamoyo au Kibamba hadi Kibaha. Umbali kutoka barabarani usizidi km 12. Kama lipo barabara ya Kilwa au Kisarawe lisizide km 5 kutoka barabarani. kama unalo tafadhali ni pm.
 
Shamba linahitajika, heka 1-5. Maeneo ni Bunju hadi Bagamoyo au Kibamba hadi Kibaha. Umbali kutoka barabarani usizidi km 12. Kama lipo barabara ya Kilwa au Kisarawe lisizide km 5 kutoka barabarani. kama unalo tafadhali ni pm.
Wasiliana na 0654085257 Swedi ana shamba kibaha
 
Ipo ekari 3 vikawe bagamoyo, bei milioni 12 kwa ekari zote. Bei inapungua kidogo. Kama unaridhika na uko interested ni PM.
Shamba linahitajika, heka 1-5. Maeneo ni Bunju hadi Bagamoyo au Kibamba hadi Kibaha. Umbali kutoka barabarani usizidi km 12. Kama lipo barabara ya Kilwa au Kisarawe lisizide km 5 kutoka barabarani. kama unalo tafadhali ni pm.
 
Shamba linahitajika, heka 1-5. Maeneo ni Bunju hadi Bagamoyo au Kibamba hadi Kibaha. Umbali kutoka barabarani usizidi km 12. Kama lipo barabara ya Kilwa au Kisarawe lisizide km 5 kutoka barabarani. kama unalo tafadhali ni pm.

kuna ekari2 pale misugusugu-kibaha umbali wake ni km1 toka morogoro road
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom