moddysheid02
Member
- Oct 9, 2016
- 9
- 3
Nauza shamba heka14 bagamoyo bei chee. 0683342024. Heka 15 kwa million5.
siyo yale ya EPZ kweli?Nauza shamba heka14 bagamoyo bei chee. 0683342024. Heka 15 kwa million5.
Lipo mbele ya kijiji cha kiwangwa kunakijiji kinaitwa motemo km1 kutoka bara bara kubwa ya kwenda msata.Bagamoyo sehemu gani??
Hapana lipo njia yakwenda msata.siyo yale ya EPZ kweli?
Mananasi na mahindi ndio inakubali inaruduba yakutosha.Linakubali kilimo cha nanasi?
Yaani heka zote 15, kwa 5M au unamaanisha heka moja kwa 5M?Nauza shamba heka14 bagamoyo bei chee. 0683342024. Heka 15 kwa million5.
moddysheid02Yaani heka zote 15, kwa 5M au unamaanisha heka moja kwa 5M?
Kiwangwa unapajua?Yaani heka zote 15, kwa 5M au unamaanisha heka moja kwa 5M?
Napajua, njia ya kutoka bagamoyo kwenda msata. Haya naomba nielewesheKiwangwa unapajua?
Nilitaka tu nikupe bei zake ni 300,000 to 500,000 per hekaNapajua, njia ya kutoka bagamoyo kwenda msata. Haya naomba nieleweshe
Asante, nimekuelewa sasa. Umbali kiasi gani kutoka barabara kuu mpaka hapo shemba mkuu?Nilitaka tu nikupe bei zake ni 300,000 to 500,000 per heka
Mimi sio muuzaji nilikua nakupa tu guideAsante, nimekuelewa sasa. Umbali kiasi gani kutoka barabara kuu mpaka hapo shemba mkuu?
ThanksMimi sio muuzaji nilikua nakupa tu guide
Heka zote. Na samahni zipo14 kwa milioni5.Yaani heka zote 15, kwa 5M au unamaanisha heka moja kwa 5M?