1800
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 2,215
- 612
Wadau hasa kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo,kuna shamba la heka 70 lipo karibu na mto linauzwa,shamba ilo lipo katika kijiji cha Unone,wilayani Kilosa katika mkoa wa Morogoro,lipo karibu na makazi ya kijiji na shule ya msingi,ni kama kilometa 6 toka barabara kuu ya lami ya Dumila - Kilosa!bei ni shilingi 250,000/= kwa heka,maelewano yapo kidogo,kwa wanunuzi walio serious wanaweza kuni PM au kunipigia kwa 0713-670026 au 0784-670026