Kisima
Platinum Member
- Oct 8, 2010
- 4,793
- 6,569
- Thread starter
- #21
Then kwa maelezo haya,thamani ya bilioni 20 kwa wakati huo itakuwa sawa na thamani ya bilioni 5 kwa sasa!!! Means thamani ya hiyo miti kama ni kweli,ni hiyo bilioni tano!
Mkuu kwenye uwekezaji wowote kuna kitu kinaitwa ROI, na ndicho kinachoongelewa hapa and is subject to change as time goes on ie the more the time the higher the rate of return.
So i can proudly conclude that the value i provided is approximately lower than the actual evaluations on the maturity date of the teak trees.. say after 15yrs.
Then compare with the bid price provided above.