Kisima
Platinum Member
- Oct 8, 2010
- 4,793
- 6,569
Hii ni fursa adhimu kwa wale wadau ambao mgependa kuwekeza pesa zenu kwa kiasi kidogo kwenye biashara ya miti ili baadae mje kuvuna pesa nyingi siku za usoni.
Shamba hili lipo Mtibwa Turiani. Lina ukubwa wa ekari tano na miti yake ni mikubwa kwani ina umri wa miaka saba toka ipandwe.
Bei yake ni milioni 45 ila discount ipo kwa mnunuzi aliye serious.
Lina hati miriki ya kimila.
Halipo kwenye risk ya moto kwani miti ni mikubwa na shamba linahudumiwa vizuri.
Kuhusu picha, tembelea facebook akaunti Tatee Mukuru ujionee ukubwa wa hiyo mitiki na usisite kunipigia kwa 0713083408 au PM.
Nakaribisha mazungumuzo kwa wadau wenye uhitaji.