Habari wakuu, Nina shamba la miti ya mbao aina ya pine lenye umri wa miaka mitano lililopo Mkoa wa Kagera - wilaya ya Misenyi pembezoni mwabarabara(sehemu inayofikika kirahisi).Bei ni M35 , Kwa yoyote mwenye uhitaji wa shamba zima au ekari moja kuendelea anakaribishwa kwa mawasiliano zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app