Shamba la kukodi

Shamba la kukodi

Twin_Kids

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
4,033
Reaction score
5,973
Heri wakuu.
Naombeni ajuaye mahara pa kupata shamba la kukodi kwa ajili ya kilimo cha mbogamboga nje kidogo ya Dar anijulishe.Pawe na maji ya uhakika, pasiwe mbali na balabala kuu
 
mkuranga yapo mengi tu ila tatizo maji ni mpaka uchimbe kisima
 
Back
Top Bottom