Shamba la hekari 500 linauzwa

Shamba la hekari 500 linauzwa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
216
Shamba lipo Dakawa Mkoani Morogoro , ni mwendo wa 6km kutoka morogoro mjini
shamba lina sifa zifuatazo:

Umeme na maji
nyumba ya mlinzi
lina miti ambayo ni mikubwa na inafaa kwa mbao
limesajiliwa ( titled ) kwa shughuli za kilimo na ufugaji
bei ni 900m.
tuwasiliane :
+255 657 14 5555
call_skype_logo.png
+255 657 14 5555 au 0685 31 23 26
call_skype_logo.png
0685 31 23 26
Akiri - Dalali


Call
Send SMS
Add to Skype
You'll need Skype CreditFree via Skype
 
udongo wa shamba hili kwa kiwango kikubwa bado haujawahi kutumika , hivyo ni sehemu nzuri kwa ajiri ya kuanzisha kilimo .
 
Back
Top Bottom