Shamba la ekari 20 linauzwa karibu na Vikindu

Shamba la ekari 20 linauzwa karibu na Vikindu

Joined
Apr 27, 2013
Posts
19
Reaction score
18
kwa wahitaji wa mashamba, naleta kwenu tangazo. Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana na mhusika.

Shamba liko eneo la Vianzi karibu na Vikindu, barabara ya Kilwa, wastani wa kilometa thelathini kutoka mjini na kilometa sita kutoka barabara ya Kilwa. Mazungumzo yapo hata kama utahitaji chini ya ekari 20.

Bei: Tsh: 3M kwa ekari.

Mpigie mmiliki 0784 607524 au mtumie barua pepe mwalimuhamisi@yahoo.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom