Shamba la Aloyce Kimario, aliyekuwa Mbunge wa Vunjo lavamiwa

Arushaone

JF-Expert Member
Mar 31, 2012
15,119
13,219
Kwa macho yangu leo asubuhi nimeona lile shamba la Alyce Kimaro aliyekuwa mbunge wa Vunjo limekatwakatwa migomba karibu yote kama lilivyokatwa tena 2 years ago. Huo ni muendelezo wa uvamiz na hujuma dhidi ya settlers waliotapakaa Meru nzima. Shamba lenyewe liko kati ya Makumira na Tengeru panaitwa Madira Estate.
 
Si waliwaahidi wenyewe kuwa wakichaguliwa mashamba yanarudi tena ni yao?kutochaguliwa hakubadilishi kauli zao acha wavune walichopanda
 
Safi sana... Big UP.
Next time ni kumchoma moto yeye mwenyewe...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom