Deo Meck Mbagi
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 360
- 525
Tunauza shamba lenye ukubwa wa hekari 1200, ambalo liko Lupembe - Njombe. Ardhi ya hapa inafaa sana kwa upandaji wa miti na chai, pia mazao mengine. Tunapenda kupata mnunuzi atayeweza kuchukua shamba lote. Hekari moja ni 150000 pia mazungumzo yapo.
nicheki 0715481628 kwa mazungumzo zaidi.
nicheki 0715481628 kwa mazungumzo zaidi.