Shamba hekari 1 linauzwa Mbezi Malamba mawili

Shamba hekari 1 linauzwa Mbezi Malamba mawili

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Suitable for resident or real estate..

Ni karibu eneo la chuo cha muhimbili..

bei 25m negotiable..

pm for more information..
 
Kaka, malamba mawili mbona mbali sana na hicho chuo?, maana chuo kiko mloganzila karibu na Kwembe,

Kaka hebu weka location yako vizuri nina mtu
 
sorry mdau ni KING'AZI A...if you are interested tuwasiliane

Kaka, malamba mawili mbona mbali sana na hicho chuo?, maana chuo kiko mloganzila karibu na Kwembe,

Kaka hebu weka location yako vizuri nina mtu
 
poa kaka mie natafuta 35 kwa 35 mkuu kama unayo nistue
 
bei haiko juu kivile mkuu...ukitaka kuelewa fanya survey maeneo hayo utajua
bei ya viwanja (viz 20 by 20) ipoje..then fanya comparison..
btw ukiona eneo lenyewe utaapreciate..the price is reasonable..

Mbona bei iko juu sana Kaka?, kuna plan yoyote ya mipango miji hapo?
 
bei haiko juu kivile mkuu...ukitaka kuelewa fanya survey maeneo hayo utajua
bei ya viwanja (viz 20 by 20) ipoje..then fanya comparison..
btw ukiona eneo lenyewe utaapreciate..the price is reasonable..

Mkuu hayo maeneo si yanacheza 15mil kwa Heka?,

naomba mawasiliano yako nikutafute
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom