Ndiyo rafiki yangu ninaenda chuo ni shamba langu mwenyewe sijashawishiwa na mtu yeyote kuuzaMilioni 6 tu hapo?
Mkuu wangu mim sio mchaga nilikuja kufanya kazi KCMC na kwa bahati nimepata jambo ambalo litanisaidia badae gharama ni kubwa ndiyo maana nimeamua niuzeWachaga hawauzi kihamba!
Sawa rafikiTuwasiliane 0754 985655
Mkuu hii namba icheki upya kama iko sahihiTuwasiliane 0754 985655
Hicho kisima ni mali ya shamba/chako au ni kisima tu cha jirani??Mkuu wangu mim sio mchaga nilikuja kufanya kazi KCMC na kwa bahati nimepata jambo ambalo litanisaidia badae gharama ni kubwa ndiyo maana nimeamua niuze
Mkuu hiki kisima kilijengwa tangu henzi za wazee wetu kabla mji wa boma haujapata maji ya bomba , baada ya kupata maji ya bomba kile kisima kilibaki kama Mali ya mtaa kwa hiyo kinatumika kunyweshea mashamba ya karibu au watu wenye maitaji Kama ya mifugo baada ya mavunoHicho kisima ni mali ya shamba/chako au ni kisima tu cha jirani??
Kwa nn wasiuze mm mbn nimenunua shamba uchagani...wanatamaa sana na ela + njaaa wanauza sana tuu...Wachaga hawauzi kihamba!
Mtu anaweza akapigwa hapo.Wachaga hawauzi kihamba!
We njoo ntakupeleka kwa serikali ya kijiji na uongozi na vidhibitisho vyote ukiona havieleweki liache tu rafikiMtu anaweza akapigwa hapo.
Mbn kama mitaa ya kwasadala hapo au macho yangu tu mkuu maana kutokea boma kama unaenda moshi sioni shamba mitaa ya njianiWe njoo ntakupeleka kwa serikali ya kijiji na uongozi na vidhibitisho vyote ukiona havieleweki liache tu rafiki