Mkuu mimi nina maeneo mengi sasa inategemeana na matumizi yako , kibaha ukipita mizani nina heka 2, kipo barabarani kabisa, ukipita viwanja 3 ukitoka hapo nina 3,zingine. pale visiga nina heka 4.5 zinaanzia pale sheli inapoishia. mlandizi nina heka shamba la heka 50 ndani lina mifugo na umeme na bwawa. kama unamaanisha nipigie tuongee biashara 0657 145555, 0755 099 291 na 0686 200 117, mimi ni dalali wa viwanja na nyumba