shamba,Eneo linatafutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

shamba,Eneo linatafutwa

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ados, Jun 21, 2012.

 1. A

  Ados Senior Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Eneo linatafutwa lenye ukubwa wa heka 1-3 Barabara morogoro kunzia kibamba mpaka Visjga kama una Eneo katika sehemu hiyo nijuze ofer yako tufanye biashara ni PM
   
 2. mangi waukweli

  mangi waukweli JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 246
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lipo kongowe mil 65. Linafaa kwa sme firm 0717210298
   
 3. A

  Akiri JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,447
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Mkuu mimi nina maeneo mengi sasa inategemeana na matumizi yako , kibaha ukipita mizani nina heka 2, kipo barabarani kabisa, ukipita viwanja 3 ukitoka hapo nina 3,zingine. pale visiga nina heka 4.5 zinaanzia pale sheli inapoishia. mlandizi nina heka shamba la heka 50 ndani lina mifugo na umeme na bwawa. kama unamaanisha nipigie tuongee biashara 0657 145555, 0755 099 291 na 0686 200 117, mimi ni dalali wa viwanja na nyumba
   
 4. C

  Capiteein Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 22, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Mimi nina shamba Mbezi Luis (Kwa Beda) kama mita 200 toka Morogoro Road. Bei Tshs 80M. Kama uko serious nipigie.

  Simu: 0715 488 669.
   
Loading...