Shamba Ekari 3 linauzwa Kiwangwa

badspender1

Member
Apr 22, 2014
74
6
shamba lenye ukubwa wa Ekari 3 linauzwa Kiwangwa.
Lipo Km 3 kutoka baraa kuu ya Bagmoyo -Msata.

Ni zuri sana kwa Kilimo au Ufugaji. Kuna chemchem ya maji shambani, unaweka pampu tu unamwagilia mazao shambani. Bei yake shs laki 8 kwa kila Ekari.
Simu 0688023398/0719413895 Isaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom