Mabulungutu
Member
- Oct 29, 2012
- 89
- 102
Shamba ekari 5 linauzwa milioni 3 lipo Vigwaza kilomita 9 kutoka barabarani. Kijiji kinaitwa Visezi zuri kwa ufugaji was mbuzi, kilimo. Maji ya bomba yapo kutoka halmashauri ya Bagamoyo. Kijiji kina huduma zote za jamii hospital na shule.