Shamba darasa

Shamba darasa

Tegemeo Sambili

New Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
4
Reaction score
5
SHAMBA DARASA

Ni vema ifahamika ya kwamba wasomi ni chachu ya Maendeleo nchini,Baadhi ya vijana wamesomeshwa na Kupewa Kipaumbele kikubwa na Serikali kutokana na nature ya Programme zao na Umuhimu wao katika kutoa huduma za Kijamii.

Mfano! Walimu Baadhi ya Walimu wamepangiwa Vijijini, Hawaendi na Kuendelea Kulalamika Hawana Ajira wakati Hawataki Kulipoti vituo vyao vya Kazi Hivi leo!Nchi hii inaendelea kuwa na Upungufu wa Walimu kutokana na Walimu kutowasili vituo vyao vya kazi na Wengine Kukimbia Vituo vyao vya Kazi.

MASWARI 1. Je Nani Awajibike Kuwaelimisha Watanzania Wanaoishi Vijijini kama Si Walimu? 2. Je nani Alaumiwe kwa Shule zetu Kukosa walimu, Ikiwa Walimu Hawalipoti Vituo vyao vya Kazi Walivyopangiwa?
3. Hivi UZALENDO wa Walimu nchi Hii Uko Wapi?
4. Je Serikali Ikikataa Kuwapa Kipaumbele, Italaumiwa?
 
Kawaambie walio kutuma kuangalia upepo kwamba, huko nime wakuta wako NGANGARI na WAMEPINDA kweli!
 
Back
Top Bottom