Wapendwa wana JF, kama kuna anayetafuta eneo la kununua au anayemfahamu anayetafuta ardhi ya kununua nina karibia heka mbili Gezaulole na ninaziuza. Mambo hayaniendei vizuri na nataka hii hazina yangu inikwamue. Ni eneo langu mwenyewe na bei ni shilingi milioni 60 za Tanzania. Ni eneo lililo tambarale na lipo karibu sana na ufukwe (beach). Bei hii ni poa kulinganisha na wauzaji wengine! Nipigie moja kwa moja 0755872551 tuongee.