Shake before USE.....!!!!

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
Habari zenu wana MMU natumaini mu wazima wa afya tele.!
kama mada inavyojieleza system hii imepamba moto sana hasa kwa wachumba wengi au wapenzi wengi hasa hasa wanaume wamekua wakiwapachika mimba wapenzi wao few days 2 go 4 weding ili kuthibitisha miamala ya wapenzi wao kama salio limefika au la...!!!!
je hali hii imesababishwa na nini hasa mpaka ikawa hivi ambapo zamani mke alikuwa anaolewa ndo inajulikana kama mashine ni ya mchina au la.!
NAWASILISHA
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Hiyo siyo shake before use,
1.shule zinachelewesha watu kuoa kwa hiyo wanasubiria ule mwaka wa mwisho na kujazana mimba ambapo ndoa si kipaumbele kutoka na ugumu wa maisha na hela za sherehe ni utata
2.mademu wengine bila kutungika mimba haki ya nani utamsikia kwenye bomba wengine wameoa,hivyo kujihakishia mke unamvizia na kumpa mimba,hapo tayari analainika kuolewa hata kama ilikuwa haeleweki
3.hata wanawake wengine wanajilengesha ili waolewe.
 
duh hili jukwaa kila uzi huwa unanihusu mimi au wezangu wanawake ivi tunawakosea nini?
mwanaume ndio tatizo bila yeye hakuna mimba harusi
acheni hizo tabia
 
duh hili jukwaa kila uzi huwa unanihusu mimi au wezangu wanawake ivi tunawakosea nini?
mwanaume ndio tatizo bila yeye hakuna mimba harusi
acheni hizo tabia

wanawake ni wengi kuliko wanaume dats Y.!
 
hiyo sio shake well before use bali ni win win situation,wewe unaona umempa mimba ili usiuziwe mbuzi kwenye kiloba mwenzio anaona ameshika mimba ili aolewe...
 
duh hili jukwaa kila uzi huwa unanihusu mimi au wezangu wanawake ivi tunawakosea nini?
mwanaume ndio tatizo bila yeye hakuna mimba harusi
acheni hizo tabia

Ulibakwa au ulipanua kwa hiari yako? Tarehe zako huzijui? Mimba zisizotarajiwa kama hakuna ubakaji ni kosa la mwanamke. Period!
 
duh hili jukwaa kila uzi huwa unanihusu mimi au wezangu wanawake ivi tunawakosea nini?
mwanaume ndio tatizo bila yeye hakuna mimba harusi
acheni hizo tabia

Ina maana hata haya maneno hapa chini hukuyasoma kutoka mada kuu? Nadhani umeenda mbali kwa kudhani mnaonewa kwa kuwa tu umeona neno mimba...
Kumbuka mwanaume anapopima kama mkewe yupo sawa, kwa upande mwingine mwanamke naye anapima kama mumewe mtarajiwa mbegu hazijaliwa na viwavi jeshi...
So stop being biased....

wapenzi wengi hasa hasa wanaume wamekua wakiwapachika mimba wapenzi few days to go 4 wedding
 
wanapachikwaje bana, mwanamke anaepata mimba kaamua.
 
Kuna Majina hapa jukwaan yanatishia maisha sana...kuna mwingne anajiita TINDIKALI na huyu BOSKON NTAGANDA
 
napigana na wewe

mkubwa nimesoma mstari kwa mstari mnatuonea kwa sababu wakati wote tunapimana viwavi jeshi hai hakuna tatizo........
ikisha ingia mimba ndio tatizo linakuwepo .........mimba harusi zinaepukika bila ushawishi mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…