Kwa hiyo anachotaka kutwambia Shaka Ssali ni watu kutumia nguvu kuwaondoa watawala madarakani ikibidi? Tumuulize yeye alipokuwa Luteni katika jeshi la Iddi Amin na akashiriki kwenye njama za kumpindua Iddi Amin baada ya jaribio lao kushindwa na baadae yeye na wenzie kufukuzwa jeshini, aliporudi uraiani aliendeleza vipi mikakati ya kudai haki zake (kama mwananchi na pia wananchi wenzie Uganda) kutoka kwa watawala wachache? Sana sana aliufyata kisha akatimkia zake Ujerumani na kisha Marekani.
Mkuu pengine wewe ndo hujamuelewa vizuri bwana Ssali hata kama mchango wake unahatarisha maslahi yako lakni jaribu kuelewa anachozungumza