Shaka: Ikitokea kuna dalili za Uhuru wetu kutaka kuwekwa rehani na sisi tukakaa kimya tusishangae makaburi ya wasisi wetu yatakapotetemeka

Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Uyu jamaa Yuko vizur Sana kichwani,anajua kupangilia anachoongea.

Sio Kama yule mlopokaji na Tambo zake za kipumbavu za vieite
 
Ndo nani..!
Uhuru wa Tanganyika umewekwa rehani kwa wazanzibari unafurahia, unatembea utakavyo katika ardhi yao, unamiliki ardhi yao utakavyo. Unakula jasho lao litokanalo na kodi zao utakavyo, hakuna mtanganyika hata mmoja anaruhusiwa kuajiriwa Zanzibar, hakuna anayeruhusiwa kumiliki ardhi huko. Watanganyika wanabaguliwa sana Zanzibar kwa imani yao. Nimekuwepo huko nimejiinea, tofauti na inavyosemwa. Muungano huu usio na usawa hauhitajiki tena. Narudia hauhitajiki tena .
 
Unataka tuvunje Muungano kisa wewe umedharauliwa kwa dini yako?!!
 
Anaongaea utafikiri anaishi miaka ya 1980 ambapo kila tatizo la Afrika lilikuwa linaelezwa kuwa linasababishwa na wapinga mapinduzi na mabeberu!
Ukimuuliza hapo akufafanulie ataaanza kutoa macho kaama Kobe!
Uhuru uliopatikana ni kutokana na mabadiliko ya kiuhusiano wa kiuchumi na kisiasa baiana ya Watawala na Watawaliwa!
Hilo ilikuwa ni suala la nyaakati TU!
Ukiangalia kwa makini ni kuwa Wakoloni weupe walikabidhi Utawala kwa Wakoloni Weusi!
Hebu tafakari,...mwenendo na kazi za Serikali kutoka Ukoloni Hadi Sasa zimebadilika!?
Tofauti ni kuwaa Sasa Watawala ni Ndugu na Jamaa zetu! Basi!
Mengine kama kawaida tu!
 
Chapa kazi Kaka tuko na wewe,
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…