kilombero yetu
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 1,004
- 117
Tangu juzi kaimu katibu mkuu wa UVCCM ndugu Shaka Hamdu Shaka amekuwa na ziara mikoa ya kanda ya ziwa na ameanzia mkoa wa Mwanza ambapo atapita kata kwa kata kuendelea kuipa nguvu zaidi CCM na serikali yake inayoongozwa na Rais Magufuli
Akiwa Nyamagana na ilemela Gafla Shaka alijulishwa na Polisi kuwa Wenje alikuwa amefikisha malalamiko kwao kuwa ziara hiyo ya Shaka imelenga kumdhoofisha yeye wenje na kesi yake ya rufaa ya uchaguzi hivyo anaiomba polisi kuzuia Shughuli zote za vijana wa CCM hadi hukumu ya kesi itakapo toka
Shaka Hamdu alijibu kwa kifupi kuwa "tunasonga mbele kama wao waendeleavyo na ujenzi wa Chama chao....watutukane ..watuzushie ukweli ni kwamba kwa sasa hawana ajenda ya msingi wamebakia kuokota tu mambo....na hatutorudi nyuma.."
Hivi ni lini Vijana wa Chadema wameanza kulialia ovyo?