Shairi:Tunda la ajabu

Shairi:Tunda la ajabu

Andanenga malenga wetu.

Kwa kweli tunda ni tamu, kama umejitwalia,
Sukariye ni adimu, adhimu wengine hulia,
Si mithili kujikimu, pspf chungulia,
Tunda lina baraka, haulipati kondeni.

Tunda halinishi hamu, kila siku najilia.
Lina utamu adimu, siwezi kisimulia.
Limenitoa fahamu, nakula huku nalia.
 
Tunda halinishi hamu, kila siku najilia.
Lina utamu adimu, siwezi kisimulia.
Limenitoa fahamu, nakula huku nalia.

Ninaye ndege mzuri, mrembo wa kupendeza,
rangi zake mashuhuli, ni nne nawaeleza,
ndizo rangi za fahari, urembo kuutimiza,
Ndege huyu ndege gani, hapa kwetu Tanzania.

Rangi ya nne buluu, mkiani kaeneza,
rangi ya bahari kuu, na maziwa yalojaza,
ndege arukapo juu, rangi hii hutokeza,
ndege huyu ndege gani, hapa kwetu Tanzania.

😛eep: 😛eep: 😛eep:
 
Hongera sana kwa kucopy na kupest kutoka kwenye Kitabu cha watoto wa std III!!!!!
 
Tunda halinishi hamu, kila siku najilia.
Lina utamu adimu, siwezi kisimulia.
Limenitoa fahamu, nakula huku nalia.

Walila huku walia, na macho wayarembua!
Na sauti wazitoa, za mahabat murua!
Mwishowe unakojoa, na mwili kukulegea!!!!
Hatari sana!!!!!!!
 
Walila huku walia, na macho wayarembua!
Na sauti wazitoa, za mahabat murua!
Mwishowe unakojoa, na mwili kukulegea!!!!
Hatari sana!!!!!!!

Na mwili ukilegea, jua umefika mwisho,
Bao si la kuzembea, kidume kuvuja jasho,
Migu chelewa tembea, Kimara to Mbezi Mwisho,
Hatari sana!!!!!
 
Tunda tamu mali yangu, ng'ombe kenda nilitoa,
Mtini la pepesuka, kutwa lina randaranda, Nahisi ninaibiwa, tunda langu la adhimu,
Michepuko liacheni, moyo wangu huna hamu.
 
Na mwili ukilegea, jua umefika mwisho,
Bao si la kuzembea, kidume kuvuja jasho,
Migu chelewa tembea, Kimara to Mbezi Mwisho,
Hatari sana!!!!!

Bao si la kuzembea, kidume huvuja jasho!
Raha hapo huzidia, mwili huwa na mshawasho!
Mwisho mwili hulegea, mchezo mefika mwisho!!!
Na dushelele hunywea, na papuchi huwa moto!!!!
Twende kazi madameeee!!!!
 
Tunda tamu mali yangu, ng'ombe kenda nilitoa,
Mtini la pepesuka, kutwa lina randaranda, Nahisi ninaibiwa, tunda langu la adhimu,
Michepuko liacheni, moyo wangu huna hamu.

Safi sana mwanafasihi mambo leo,

Tunda tamu mali yako, ng'ombe kenda ulitoa
Mewapokonya wenzako, bikira walolitoa
Sasa kazi iwe kwako, ulinzi kulipatia!
Tumia ujanja wako, matunzo kulipatia
 
Tunda halishi kinywani, wala ladha kupungukwa.
Nala leo na mwakani, tena bila ya kuokwa.
Tunda linafichwa ndani, haliwezi kuanikwa.
Naulinda mti wangu, unatunda la ajabu.

Duh we ni noma haya bhana !
 
Tunda halishi kinywani, wala ladha kupungukwa.
Nala leo na mwakani, tena bila ya kuokwa.
Tunda linafichwa ndani, haliwezi kuanikwa.
Naulinda mti wangu, unatunda la ajabu.

Duh we ni noma haya bhana !

Tupia angalau beti moja ya kutunga mwenyewe tafadhali,
 
Bao si la kuzembea, kidume huvuja jasho!
Raha hapo huzidia, mwili huwa na mshawasho!
Mwisho mwili hulegea, mchezo mefika mwisho!!!
Na dushelele hunywea, na papuchi huwa moto!!!!
Twende kazi madameeee!!!!

Jamani mume mtamu, nyie nisikilizeni,
Hakika haishi hamu, ashkin majinuni,
halafu awe mtamu, weza hata lamba koni,
Mume wangu muacheni, utamu napata mimi.

Utamu wake mwandani, jamani niachieni,
Anipayo kitandani, siri yangu kifuani,
Ananikata maini, atiapo nyama ndani,
Mume wangu muacheni, utamu napata mimi.

MZEE RAZA,twende kazi!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Jamani mume mtamu, nyie nisikilizeni,
Hakika haishi hamu, ashkin majinuni,
halafu awe mtamu, weza hata lamba koni,
Mume wangu muacheni, utamu napata mimi.

Utamu wake mwandani, jamani niachieni,
Anipayo kitandani, siri yangu kifuani,
Ananikata maini, atiapo nyama ndani,
Mume wangu muacheni, utamu napata mimi.

MZEE RAZA,twende kazi!!!!!!

Teh teh teh!!! Unamsifia mumeo sio!!! Safi sana madame,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom