Shairi: Mtatiro..

Shairi: Mtatiro..

Mkuu Dotto
1. Mtamlaumu bure, kuhama halali yake,
Kujiunga ni kwa bure, kuhama ni haki yake,
Ukizoea vya bure, tavunja heshima yake,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo,

2. Sababu ya matatizo, Mtatiro amehama,
Upinzani ni tatizo, na wengine watahama,
Wapinzani matatizo, wote watakuja hama,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

3. Nchi yetu ni tatizo, watu wetu matatizo,
Viongozi ni tatizo, wananchi matatizo,
Vyama vyetu ni tatizo, serikali matatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

4. CUF ina matatizo, CCM ni tatizo,
Amehama matatizo, amehamia tatizo,
Chama chenye matatizo, ameongeza tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

5. Chadema ni matatizo, viongozi ni tatizo,
Sera zake matatizo, na misingi ni tatizo,
Wakimbia matatizo, waenda kwenye tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

P.
Ukiona mtu mwanaume anakimbia matatizo basi ujue yeye ndiyo chanzo cha matatizo.
Kimsingi mwanaume hakimbii matatizo bali hupambana kutafuta ufumbuzi. Ni bora walio kimya wakipambana kuliko wanaopepeta midomo kumbe ni wahanga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aliyasema mmoja, simkumbuki huyu bwana
Uume katu si hoja, sio wote wavulana
Sie yetu ni kungoja, tuone watayofanya
Kama sapoti ni hoja, walale chumba kimoja!

Uvulana ndio sifa, kwa wasio tetereka
Hata kama kuna kufa, huvuki yako mipaka
Kwenye jengo lenye ufa, hujiamulii kuruka
Unajikaza kilofa, tumia ngazi.kushuka
 
Mkuu Dotto
1. Mtamlaumu bure, kuhama halali yake,
Kujiunga ni kwa bure, kuhama ni haki yake,
Ukizoea vya bure, tavunja heshima yake,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo,

2. Sababu ya matatizo, Mtatiro amehama,
Upinzani ni tatizo, na wengine watahama,
Wapinzani matatizo, wote watakuja hama,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

3. Nchi yetu ni tatizo, watu wetu matatizo,
Viongozi ni tatizo, wananchi matatizo,
Vyama vyetu ni tatizo, serikali matatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

4. CUF ina matatizo, CCM ni tatizo,
Amehama matatizo, amehamia tatizo,
Chama chenye matatizo, ameongeza tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

5. Chadema ni matatizo, viongozi ni tatizo,
Sera zake matatizo, na misingi ni tatizo,
Wakimbia matatizo, waenda kwenye tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

P.[/QUOTE
na wewe pia tatizo!
 
Bora kubaki na matatizo kuliko kuhamia kwenye tatizo
 
Jini kinyonga unaghani mashairi Kwa lugha ngumu dooh...
Ungekuwa wakati ule ni mwalimu tungeweza kuwa na PhD fakero nyingi sana.

Hata hivyo procurement wanaimudu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma uzi nimemsoma Mayala kisha I fell in love with the scenario I created in my head.

Two opponents debating.

Hakuna kashfa.

Hakuna bunduki.

Hakuna vitisho.

Tanzania dah
 
Huyo mtatiro kiufupi ni njaa naamini moyoni bado ni mpinzani

Sent using Jamii Forums mobile app
Najaribu kufikiri jambo moja, ni ukweli usiopingika kuwa Mtatiro njaa imembana hasa tumboni. Lakini kichwani hajaingiliwa na njaa maana uwezo hajauvua. Sasa jee atakapoanza kuwa anapewa matamko ya kutamka kutoka kwa yule empty head Mr Slow2 atakubali kujivua ufahamu kwa akili ya njaa ya Tumbo?
 
Na mimi nimeingia kwenye ulingo wa ushairi...kweli mleta mada ni mahiri kwenye ushairi. Yaani katendea haki fani. Tukirudi kwenye ujumbe wa "mshairi"!
Inahitaji, tafakuri
 
Mkuu Dotto
1. Mtamlaumu bure, kuhama halali yake,
Kujiunga ni kwa bure, kuhama ni haki yake,
Ukizoea vya bure, tavunja heshima yake,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo,

2. Sababu ya matatizo, Mtatiro amehama,
Upinzani ni tatizo, na wengine watahama,
Wapinzani matatizo, wote watakuja hama,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

3. Nchi yetu ni tatizo, watu wetu matatizo,
Viongozi ni tatizo, wananchi matatizo,
Vyama vyetu ni tatizo, serikali matatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

4. CUF ina matatizo, CCM ni tatizo,
Amehama matatizo, amehamia tatizo,
Chama chenye matatizo, ameongeza tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

5. Chadema ni matatizo, viongozi ni tatizo,
Sera zake matatizo, na misingi ni tatizo,
Wakimbia matatizo, waenda kwenye tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

P.
Kweli matatizo ongeza matatizo, ni tabu Sana juu ya shida.
 
Najaribu kufikiri jambo moja, ni ukweli usiopingika kuwa Mtatiro njaa imembana hasa tumboni. Lakini kichwani hajaingiliwa na njaa maana uwezo hajauvua. Sasa jee atakapoanza kuwa anapewa matamko ya kutamka kutoka kwa yule empty head Mr Slow2 atakubali kujivua ufahamu kwa akili ya njaa ya Tumbo?
Tatizo hawana means ya kupata kipato zaidi ya kupiga domo

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Dotto
1. Mtamlaumu bure, kuhama halali yake,
Kujiunga ni kwa bure, kuhama ni haki yake,
Ukizoea vya bure, tavunja heshima yake,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo,

2. Sababu ya matatizo, Mtatiro amehama,
Upinzani ni tatizo, na wengine watahama,
Wapinzani matatizo, wote watakuja hama,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

3. Nchi yetu ni tatizo, watu wetu matatizo,
Viongozi ni tatizo, wananchi matatizo,
Vyama vyetu ni tatizo, serikali matatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

4. CUF ina matatizo, CCM ni tatizo,
Amehama matatizo, amehamia tatizo,
Chama chenye matatizo, ameongeza tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

5. Chadema ni matatizo, viongozi ni tatizo,
Sera zake matatizo, na misingi ni tatizo,
Wakimbia matatizo, waenda kwenye tatizo,
Mtatiro amehama, sababu ya matatizo.

P.

Itakuwa rahisi zaidi mzee Hashimu Rungwe kushinda urais 2020 kuliko mbunge/diwani msaliti wa upinzani kushinda kura za maoni ndani ya CCM - JamiiForums
 
Back
Top Bottom