Massanda OMtima Massanda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 1,056
- 564
Si Msiba peke yake! Akina Ngurumo, Mange, Lissu, Lema, Mchungaji Msigwa, nk. wathibitiwe kwani tabia zao zinafanana na Msiba!Huyu bwana Msiba hasipozuiliwa kuna kitu anakipandikiza ndani ya Watanzania,
Yeye kama raia mwema alipaswa kwenda kurepot mahala husika,
Hii ya kutaja taja watu tu madhara yake ni makubwa sana ,
Atajenga tabia ya watu kupuuza habari nyingine za ukweli wakidhani ni Tanzania ya kutaja taja tu,
Adhibitiwe na ashikiliwe kwa mahijihano zaid